Makapuku Forum

Makapuku Forum

mimi huwa najibu dry poa au safi atakaa weeeeh akirudi zinaanza salaam kiukweli salaam tu hazina mwanzo wala mwisho yaani sipendi me ni mvivu sana kuchart chart
Niambie - poa
Mambo vipi - safi
Unaendeleaje - poa
Mziwa wewe - ndio
.
.
.
.
.
Yaani ni mlolongo wa salamu tu, hata kipindi cha kutuma salamu redioni hakiko hivyo woooi!
 
mimi huwa najibu dry poa au safi atakaa weeeeh akirudi zinaanza salaam kiukweli salaam tu hazina mwanzo wala mwisho yaani sipendi me ni mvivu sana kuchart chart
...hupendi kusalimiwa na kushukuriwa aunt!!!? Salam ni upendo, utanifanya niache kumsalimia Makiwendo sababu baada ya salamu huwa sijui niandike jambo gani jingine 🙂
Asante kwa kusoma
Nawasalimia wote bila kujali mmeamkaje na nnawatakia siku nzuri
 
Niambie - poa
Mambo vipi - safi
Unaendeleaje - poa
Mziwa wewe - ndio
.
.
.
.
.
Yaani ni mlolongo wa salamu tu, hata kipindi cha kutuma salamu redioni hakiko hivyo woooi!
.....duh, huyo anayejibu atakuwa na dhiki sana ya maneno na kakosa mate ya kumeza anashindwa ateme vipi.

Mambo - poa sana sijui wewe

Niambie - hakuna jipya labda/sijui upande wako
Unaendeleaje - naendelea vizuri, asante kwa kuuliza.

Mzima wewe - ( nikiwa sina hela) tunasonga mtu wangu ( nikiwa nna hela, afu anko Lee kanibipu, nampigia) njoo hapa Capital City utanikuta nimeagiza Changamoto na bia mbili za baridi zinatoa moshi. Ukija unachopenda tena ulitabasamu unaagiza kwa hela

Happy hump daaaaay.

Ngoja nikamsalimie mama yenu mpya, tuna jambo letu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom