Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,186
- 35,341
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Matusi ya nyie matajiri ni dawa utasikia we jinga chukua hiyo $ 1000 ukalale [emoji2][emoji2]
Acha bhana...pls..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Matusi ya nyie matajiri ni dawa utasikia we jinga chukua hiyo $ 1000 ukalale [emoji2][emoji2]
Mimi ndiyo..Wewe huyo[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]alafu acha nikaushe natoka siri boss tajiri dada [emoji2][emoji2][emoji2]
Hapo hapendi show off hajioneshi ngumu kukunulia, hataki watu wake wa karibu wajue utajiri wake na mali anazomiliki[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Auntie haiwezekani me ndugu yako nisimamie bomba la mwendokasi we unaishi kwa raha hivi
[emoji3][emoji3][emoji3]Unafikiri ni kwa mjomba wako huko eeh?
Acha niibebe boksi za muhindi hapa.. nikikosa kazi nitalala njaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo siri zako siyo kweli hata kidogo..
Kwenda Home...lift mie nipo mzigoni nakusakya makopo ya maji .. au lift ya kwenda wapi tena [emoji19][emoji19]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hizo mambo zimenishinda sana yani sipendi mpaka sipendi tena
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Me nimefanyaje auntie yangu mama wa jeep
aah gari zako umeziacha services eeh.. kwa heshima yako nakupitia kwakua nimetumwa kupeleka matunda ununio nitakupitisha kwako hapoKwenda Home...
Mwenzangu...Watu na mapenzi yao auntie sisi sijui tunafeli wapiiii
dah notifications huwa lkn muda nazikosa shangazi,samahaniWe mzee jamani panda panda juu niliweka jana nikikutag huji
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eeenh mama wa jeep huyoo
Ford Ranger[emoji38]Tuendelee tu kuota auntie, one day yes[emoji1787]
Auntie wewe nikufanyie siri mambo mazuri hivyo jamani? Hapana Auntie..siwezi.Anafanya siri hajawahi tuambia kabisa kama ako na jeep
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na sasa hivi ana Range Rover Autobiography jipyaa namna DZD..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Auntie. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mambo ya kujinenea makubwa hayo ebu niache kujinenea ist mie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwambie basi atununulie hata ka ist tu [emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ist kitu gani kwake.. wafanya kazi wake wote aliwachukua Crown GRS204 na Mercedez Benz C250 CGI .. muambie akuchukulie Benz yake hata E350 hashindwi huyo, mwenzako simu moja tu pale CFAO.
hapo ukawii kuaguza Ford Raptor usivyopenda kupitwa ,😃😃Ford Ranger[emoji38]