Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,191
- 35,354
Aloooo...Nami kazi yangu ni kukupenda na kukuheshimu baba.
Aloooo...Nami kazi yangu ni kukupenda na kukuheshimu baba.
Niko hapa Auntie....Huba linamwagikaaaa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] auntie maki uko wapiiii
Hebu niache we' Binti..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu hajinenei, tayari yuko kwenye ulimwengu halisi. Sie ndio bado tuko kunakofikirika
Shindwaaaa[emoji28]Yuko anaziba ziba huba lake maana limetoboka hiloooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe hauna hizo pigo baby, ningeshakutoa baru.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...hupendi kusalimiwa na kushukuriwa aunt!!!? Salam ni upendo, utanifanya niache kumsalimia Makiwendo sababu baada ya salamu huwa sijui niandike jambo gani jingine 🙂
Asante kwa kusoma
Nawasalimia wote bila kujali mmeamkaje na nnawatakia siku nzuri
Hata hicho sawa tu Tajiri[emoji1]Kirikuu cha kanjibai [emoji19][emoji19]
Leo asubuhi alikuwa karipaki pale hotelin walipo mtekea Mudi, sijui nae ni member pale.. hapendi sana show off[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mamaa wa jeep
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Asubuhi nilikuta gari yako pale mitaa masaki pale walipo mtekeaga tajiri mwemzako Mudi, sijui hotel gani ile ija jina gumu gumu. nikajipiga kifuani nikasema dada yanguu huyoo
Kwenda huko[emoji38] Sina gari wala Mansion Kaka Tajiri...Ungekuwa unapenda show off .. hii jf watu wangejificha maaan huna nini dada yangu wewe [emoji91][emoji91]
Ewaa.. umeisha badirisha tayari ? ndio maana juzi nilipita ofisini kwako sehemu ya kupakia gari yako nikakuta Range Rover autobiography mpya namba DZD nikasema una mgeni kumbe ni wewe.. Hongera sana Tajiri dada yangu, nitamuambia na dada Hadde huenda hana hizi taarifaHata hicho sawa tu Tajiri[emoji1]
Uzuri Tajiri amalizi mwaka na gari hilo hilo..
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Leo asubuhi alikuwa karipaki pale hotelin walipo mtekea Mudi, sijui nae ni member pale.. hapendi sana show off
Ila sasa hivi Una Jeep na Range Rover autobiography alafu hiyo Range yako si ni ya mwaka jana au mwaka huu 😒😒Kwenda huko[emoji38] Sina gari wala Mansion Kaka Tajiri...
Na humu ndiyo kama unavyojua lazima uwe na kimoja wapo.[emoji1]
🏃🏃🏃🏃🚶🚶🚶 acha niende kwa kanjibai niwai daladala mie leo nina shift ya usiku[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Akiyanani!!!!
Umekazia mno hayo masuala...siyo poa Tajiri...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ewaa.. umeisha badirisha tayari ? ndio maana juzi nilipita ofisini kwako sehemu ya kupakia gari yako nikakuta Range Rover autobiography mpya namba DZD nikasema una mgeni kumbe ni wewe.. Hongera sana Tajiri dada yangu, nitamuambia na dada Hadde huenda hana hizi taarifa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila sasa hivi Una Jeep na Range Rover autobiography alafu hiyo Range yako si ni ya mwaka jana au mwaka huu [emoji19][emoji19]
Nakujua dada yangu wa nguvu huna makuu na hupendi show 😃😃 nije kunywa hata chai Tajiri yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niache bhana..
Life kwa sasa Imenipa kumiliki Godoro tu na Jiko lile dogo la gesi...huko sijafika.
Life Inasonga[emoji2]
[emoji2][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji124][emoji124][emoji124] acha niende kwa kanjibai niwai daladala mie leo nina shift ya usiku
Lift uende wapi tena.. dalala lini ikawa na lift mia nne yako tu unapanda 😃😃😃[emoji2]
Nipee lift basi Boss wangu...
😒😒😒😒 Kitu DZD Autobiography ni 🔥🔥🔥 kina Shunie hujawapa hata lift au kwakua unafanya siri.. Inabidi unisamehe kwa kuwa kihele hele kusema una Range Rover mpya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka sana.... Usitake kujua ni kiasi gani nimeangua kicheko...
Hiyo life mbona sijifikia Broh!!! Life ya Kiduku Lilo hiyo....Na wewe ukiwa kwenye list...