Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,649
....poa poa. Fika mitaa ya Shangani hotel ya mgombea urais wa ACT utanikuta kwa Wamasai wanauza shangaAsante mkuu maana nina ratiba ya kufika tena huko kwaajili ya matembez ya kawaida tu
....poa poa. Fika mitaa ya Shangani hotel ya mgombea urais wa ACT utanikuta kwa Wamasai wanauza shangaAsante mkuu maana nina ratiba ya kufika tena huko kwaajili ya matembez ya kawaida tu
Daaaah! Daraja tusilisuseNauli itakuwa sh ngapi niachane na lile daraja mie
Sawa mkuu asante mi kituo changu kikuu ni shule moja kubwa ndani ya mkoa huo....poa poa. Fika mitaa ya Shangani hotel ya mgombea urais wa ACT utanikuta kwa Wamasai wanauza shanga
Hizi tanzania nasikia wame zi block.. hizo 85% haijumlishi Tanzania au
He he he...Kudanganya siwezi Toto...Haha hapana auntie wadanganye wasiokujua
Wakati hadi ninapolala unapajuaUtarithi dhambiWe ukifa sina hata cha kurithi mweeeh!

We uliona wapi mtu anataka kujifunza tu vitu vya ajabu from no where tu!!


Weee!!!
Hapana kwa kweli siwezi kuwa na mchumba wa huko
Yeah mchumba ninaye

Ya naniliu Tajirihiiiilift gani sasa tajiri

Kirikuu cha kanjibai 😒😒Ya naniliu Tajiri![]()
Mataji 25 na jemedari mmoja tu, Captain Marcelo
Leo hii ameagwa rasmi ndani ya Real Madrid!
End of an eraView attachment 2259948





Asubuhi nilikuta gari yako pale mitaa masaki pale walipo mtekeaga tajiri mwemzako Mudi, sijui hotel gani ile ija jina gumu gumu. nikajipiga kifuani nikasema dada yanguu huyoo
Mbona show off...
Ungekuwa unapenda show off .. hii jf watu wangejificha maaan huna nini dada yangu wewe 🔥🔥
Mbona show off...
Inawezakana na imebaki ile ile...Nauli itakuwa sh ngapi niachane na lile daraja mie
Kwendaaaaa....Sio mwenzetu huyo.