vzr km mpo poaTupo wote we mzee
Hawajamfaidii huyu mtuDEO KANDA UPDATES
- Nyota wa Mtibwa raia wa Kongo, Deo Kanda hatimae amepata leseni ya kuanza kuitumikia Mtibwa Sugar baada ya sakata la muda mrefu dhidi ya TP Mazembe
-Baada ya Mtibwa kuinasa saini ya Kanda, waliwekewa ngumu na miamba hiyo ya Lubumbashi ambao walidai wana mkataba na Kanda huku mchezaji mwenyewe akikakana
- Mgogoro huu ulifika mpaka FIFA na sakata limechukua zaidi ya miezi mitatu mpaka kupata ufumbuzi ambapo Mazembe wameshindwa kesi kutokana na kukosa vielelezo sahihi
- Kwa maana hiyo Kanda sasa ni ruksa kucheza mechi za Mtibwa, lakini pia tayari wamemalizana na Kitayose juu ya kulipa gharama ambazo nao walitoa kipindi wanaisaka saini yake
View attachment 2258925
Daaaah M12 , viumbe adimu vinazidi kupukutika kwenye kabumbuReal Madrid watamuaga rasmi Marcelo ambaye alikuwa Nahodha wao mkuu, Jumatatu, Juni 13 kwenye viunga vya soka vya Real Madrid
Baada ya hafla ya kumuaga, Marcelo atapata wasaa wa kuzungumza na Mashabiki wa klabu hiyo kubwa nchini Hispania akiwa sambamba na Rais PerezView attachment 2258963
Asante kwa magazeti
Naanzia mwanzo auntieHivi unaanzaje lakini

We unawafahamu wangapi?Yupi huyo
naikumbuka ile id






We mtu apotelee kusikijulikana arudi akwambie kakumiss kweli? Auntie we ulisikia wapi eti jamaniEeenh.![]()


Umbea tu umekujaa.Hivi nacheka nini mimi
Hapana kumbuka kile cheti chetu cha ndoa nilisaini sehemu ya Mke mmojaMmmh!! Naibiwa hivi hivi najiona mimi![]()
Wangejua ulivyo mayai mayai mdada wangu upo soft kabisa 😄😄😄 msalimie dada tajiri MakiwendoHahahaaa eehh mama siku hizi mambo yao tunawaachia wenyewe
Kadiri miaka inavyozidi kuenda taratibu naanza kupoteza interest kubishana mada za namna ile
Halafu pia nimegundua kuna watu wananichukulia kauzu na mkali kumbe yani wangejua daah
Asante ndaga kwa lugha ya kwetumbebishe tu kaka
Na michepuko mingapi?Hapana kumbuka kile cheti chetu cha ndoa nilisaini sehemu ya Mke mmoja