Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
“Kufunga bao siku ya fainali ilikuwa furaha kubwa sana kwangu ila nilifurahi zaidi baada ya Cristiano Ronaldo kunipa kombe nilinyanyue mbele ya mashabiki, ilikuwa furaha zaidi kwangu” Eder Lopes, mfungaji wa bao pekee la Ureno fainali ya EURO 2016