Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,448
- 176,418
Athubutuuuuu!!! Mie sina pa kwenda na wewe kabisa.
Tukwendee wote basi
Wacha we!Kuna kipindi ulikuwa na Ligi wewe... Mweh!!!
Nilikuwa nikimaliza kusoma comment yako mahali narudi kwenye ID najiuliza huyu ndiyo yule Binti yangu kweli? Ila Siku hizi nakuona umekuwa na katabia ka ku'Ignore vitu kama Mamako hapa...
Good Girl..
Asante mkuu, na kwako pia.jioni njema kwa wote
Kanjibai noma, hana utani.. najua weekend yako ni njema.. nije kupata hata ka espresso mkuu wangu



Kanjibai anakaba aisee...Pole Boss....
Ahsante Mndali..Sawa karibu japo nami nilikimbia kidogo
Hii ndio shida ya kuwa na mambo mengi kichwani. Yapunguze kwanza usije anza kunitumia mimi msg za michepuko yako.
Sawa ngoja nipunguze...Athubutuuuuu!!! Mie sina pa kwenda na wewe kabisa.




Ndiyo ndiyo...Wacha we!
Kuna mda nilipita nikakuona papparoti ulikuwa ni matajiri wenzako, nikaona nitakusumbuaKanjibai anakaba aisee...Pole Boss....
Uje upate wapi wewe....Nenda kanywe zile kahawa zako za kikombe 8000/=![]()
Hahahaaa eehh mama siku hizi mambo yao tunawaachia wenyeweKuna kipindi ulikuwa na Ligi wewe... Mweh!!!
Nilikuwa nikimaliza kusoma comment yako mahali narudi kwenye ID najiuliza huyu ndiyo yule Binti yangu kweli? Ila Siku hizi nakuona umekuwa na katabia ka ku'Ignore vitu kama Mamako hapa...
Good Girl..
Kuna mda nilipita nikakuona papparoti ulikuwa ni matajiri wenzako, nikaona nitakusumbua





hapo ndio huwa nina ku salaute hupendi show off 😄😄
Wacha zako Tajiri.. Huyo uliyemuona siyo mimi..
Aisee ndiyo kusema kwamba nimepata baba mpyaMmmh!! Naibiwa hivi hivi najiona mimi![]()
Zamani ulikuwa unamfungashia Virago Lizarau.Hahahaaa eehh mama siku hizi mambo yao tunawaachia wenyewe
Kadiri miaka inavyozidi kuenda taratibu naanza kupoteza interest kubishana mada za namna ile
Halafu pia nimegundua kuna watu wananichukulia kauzu na mkali kumbe yani wangejua daah
Siku hizi sijui yuko wapi..hapo ndio huwa nina ku salaute hupendi show off![]()





Tuko salama Mtu chake...Leo nimeingia lindo,mtaa huu,mko salama