Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,839
- 183,053
Nifundishe basi.Sana
Nifundishe basi.Sana
Ndio maana huna nyama[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Napenda nyama nyama yaani
Nami umenitafutia nini?Hujakagua cheti tuliweka tik kwenye kipengere gan
Ila usjal nilikuwa kuwatafutia wanangu mkate wa uhakika hapo nyumbn
Wewe kuna zawadi yako ya kudumu ambayo ni upendoNami umenitafutia nini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe kuna zawadi yako ya kudumu ambayo ni upendo
Hizi zingne ni ziada tu
Sikupangi ukweli ni kwamba unahati miliki ya moyo wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unanipanga baba[emoji134]
Mmmmh!! Sasa huwa unafichwa wapi? Hata kunisahau?Sikupangi ukweli ni kwamba unahati miliki ya moyo wangu
You are Welcome Toto...Hahaha lizarazu sijui yuko dunia gani sasa hivi
Thank you for the appreciation ma mkubwa (hivi ma makubwa kwa kiingereza anaitwaje au naye ni aunt tu)
[emoji16][emoji16]
Swali zuri sana Auntie..[emoji23][emoji23][emoji23] Yupi huyo
Napokea hela ya kifurushi...Asante kwa magazeti
[emoji2]Mbona hilo jambo umelingangania sana mdogo mtu?We unawafahamu wangapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na michepuko mingapi?
Ngeli which, who,where?You are Welcome Toto...
Ndiyo...Ni Aunty hivyo hivyo...
Au Espy Atoto na ile ngeli yake atusaidie...
Jambazi.[emoji2]Mbona hilo jambo umelingangania sana mdogo mtu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata sijui mimi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kuna Mwanaume huwa anajibu hili swali?
Kwa hiyo na wewe unakazia maneno yake huyo Tajiri Binti yangu?[emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Aahh sijakuzidi wewe kwa kuwa mayai
Mi hata sijui aliko ninyi wa utajirini ndiyo mnajuana mnakokuwa
Mmmmmh!!! Nini???Mmmmmh!!!