Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,192
- 35,360
Ahsante Shem...Karibu, karibuNilipita kusalimia
Ahsante Shem...Karibu, karibuNilipita kusalimia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atakuwa na yule babe wake kisirani mwenzie.
Eeeee Ndiyo...Wivu ni kidonda auntie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lipo limetulia hata haliendi mahali[emoji1787]
Tajiri yangu, kama wewe kwako life lipo hard wengine tutalala njaa mwaka huu.. 🥲Hongera Boss wangu..
"Gangamala"Boss.... Life iko hard..
Nakumbuka sana hili balaa lako[emoji2][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilipigwaga ban nikafungua id nyingine badala nirudi mtulivu nikaliendeleza. Si wakaziunga nikarudi kwenye ban[emoji134][emoji134][emoji134]
Ikabidi nitulie tu ban iishe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwendraaaaaa
Kuna kipindi ulikuwa na Ligi wewe... Mweh!!![emoji2][emoji2]Hahaha huku kwenye keyboard tunachangamsha genge tu ma mkubwa na mara nyingi huwa tuko katika utani tu kuprovoke watu ili tuone watareact vipi
[emoji2][emoji2]Khaa!!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] huyo huyo
Naweza kupunguza vingine Mndali..Hahaha hongera ila punguza angalau kwa wiki Mara moja sio mbaya
[emoji23]Nimerudi..Mmmmh hapana kaa hapahapa
Acha kunichocha Tajiri[emoji2]Tajiri yangu, kama wewe kwako life lipo hard wengine tutalala njaa mwaka huu.. 🥲
Na Iwe hivyo kwako pia Mbalizi....[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666] jioni njema kwa wote
😄😄😄 Kanjibai noma, hana utani.. najua weekend yako ni njema.. nije kupata hata ka espresso mkuu wanguAcha kunichocha Tajiri[emoji2]
Ndiyo unachek OUT saa hii kwa Kanjibai? Pole Boss...
Sawa mkuuNaweza kupunguza vingine Mndali..
Ila siyo nyama...
BTW.... Ahsante kwa Ushauri.
Sawa karibu japo nami nilikimbia kidogo[emoji23]Nimerudi..
Mmmh!! Naibiwa hivi hivi najiona mimi[emoji24][emoji24][emoji24]Hahaha hapana majukumu tu yamebanana hatari
Sidanganyiki binti.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Aah nikikukuta ndiyo nakupa hela
Hii ndio shida ya kuwa na mambo mengi kichwani. Yapunguze kwanza usije anza kunitumia mimi msg za michepuko yako.Eeeee Ndiyo...
Jambo letu bado lipo... Isome kwa sauti ya Mama Samia..