moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,520
- 776,421
Hahaahha na uzee huu naanzaje etiAseeee.
Tafadhali mtoto mlito, cheusi mangala, kibonge wa uzi huu usivunje ndoa yako kwa sababu ya Krismass na mwaka mpya.
Heri ya mwaka wewe na familia yako
MmmhJamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] utajua hujuiView attachment 1662264
Hapa kuna ukweli
Upigaji kwenye sekta ya elimu
Duuu.
Hakika[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1662358
Mkuu kwema kabisaKiongozi kwema.
Heri ya mwaka mzee baba
[emoji120][emoji120]Happy new year to you all
[emoji120][emoji120][emoji120]Nilikuwa silijui hiliView attachment 1664612
[emoji120][emoji120]Na kwako moudy
Salama ShunieHatujambo moud za wewe apo
Kwani hakuna wazee wenzako wanaokutamani?Hahaahha na uzee huu naanzaje eti
[emoji120][emoji120][emoji120]Mkuu kwema kabisa
Heri ya mwaka mpya pia
He he hata sijui labda niulize kama kuna wazee wenzangu wanaonitamaniKwani hakuna wazee wenzako wanaokutamani?
Uliza hapa hapa kisha fungua PM yako uone foleni ya vikongwe wenzako[emoji23][emoji23]He he hata sijui labda niulize kama kuna wazee wenzangu wanaonitamani
Pm ipo wazi mbona moud huwa siifungi hahah eti foleni ya vikongwe wenzanguUliza hapa hapa kisha fungua PM yako uone foleni ya vikongwe wenzako[emoji23][emoji23]