Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mwanaume mwenye gubu uumsikie tu jamani yasikukute [emoji1787][emoji1787][emoji1787]utajuta kwa nini nimeingia kwenye haya mahusiano

Kila siku maugomviii tu kumbe vile yeye ndio anafurahiii nilikuwa sijui ndio nimejua leo
 
Lengo la kukununia na kukusimanga na kuwa na gubu ni ili unune na wewe kuwa na kisirani kama yeye

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu wanatupataga wajinga wajinga tunajishusha weeeh kumbe wenyewe ndio furaha yao ujinga ukituisha sasa ndio kazi inapoanza. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom