Makapuku Forum

Makapuku Forum

Namshukuru Mungu maisha yangu yananipa amani na furaha [emoji120][emoji120][emoji120]

Naishi maisha yangu siishi maisha ya mtu mwingine [emoji4]

Ukinikwaza nitakwambia huwa siwezi kukaa na kitu moyoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kazi ipo kwa wewe ninayekwambia ukinuna utajua hujui [emoji1787]

Ukikaa nayo moyoni, moyo uvimbe ukufwe unatuacha wenzio tunaendelea kula raha [emoji847]
 
Back
Top Bottom