Ameen vinci [emoji120][emoji120][emoji120] na kwako pia kipenziHeri ya mwaka mpya mrembo wa makapuku Shunie. Kwetu mvua inadunda balaa hata kwenda ibadani haiwezekani.
Mwaka uwe heri kwako..
Mwambie sakayo namtakia heri ya mwaka mpya hata kama kaninunia[emoji3531]
Hahaha mzee wake sakayo bwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Amina halelujhaaaaaaa, heri na kwako pia Shunie mzee mwenzangu
Matamu matamu matamuMapenzi mapenzi mapenzi [emoji2356][emoji2356][emoji2356][emoji2356]
Tenaa? Mifuko
Mwaka mpya huuMapenzi mapenzi mapenzi [emoji2356][emoji2356][emoji2356][emoji2356]
Ukimaanisha nini eti mkuu wanguMwaka mpya huu
Hahhahaahah sanaaa mzee wake dada anguMatamu matamu matamu