Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Hahhaha hapo mmependa pa kutokuombwa hela tuUjumbe mzuri huu
Hahhaha hapo mmependa pa kutokuombwa hela tuUjumbe mzuri huu
Jamani mbona mna haraka hivyo herufi zenu bado niniMbona hujamalizia herufi shunie
Yaani kawa mpole mpaka naogopa asije akatufia jamani
Mwaka umeuanza vizuri mkuu ..umeuanza ukiwa kaziniHahhaha nimeingia job pita basi kama upo mjini
Uzuri sitokuacha ukiwa mjane ushajipatiaa umpendae swaaaafiiiiiiiYaani kawa mpole mpaka naogopa asije akatufia jamani
Baba wawili inabidi awe anaingia humu kukuchangamshaUzuri sitokuacha ukiwa mjane ushajipatiaa umpendae swaaaafiiiiiii
Kikubwa uhaiBaba wawili inabidi awe anaingia humu kukuchangamsha
Kawaida tu mbona hata mwaka jana ilinikuta mkesha wa mwaka mpya na mwaka niliuanzia hapaMwaka umeuanza vizuri mkuu ..umeuanza ukiwa kazini
Ndo maana umeumaliza salama kabisaKawaida tu mbona hata mwaka jana ilinikuta mkesha wa mwaka mpya na mwaka niliuanzia hapa
Ukimaanisha niniNdo maana umeumaliza salama kabisa
Kwan si kuna ambao kazin hawajaumaliza mwaka wakiwa kazn wakat mlikuwa naoUkimaanisha nini
Wote tupo naoKwan si kuna ambao kazin hawajaumaliza mwaka wakiwa kazn wakat mlikuwa nao
OkWote tupo nao
KabisaaUjue ukinuna nuna unafanya maisha yako kuwa magumu sana![]()