Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
mmh wabakie tu english medium inatosha
mmh wabakie tu english medium inatosha
Aaah Shunie, how have you been!Anko heshima yako
Huu uzi ulinipaga sana kampani kuna kipindiMiaka buku[emoji2][emoji2]
Tulikuwa tunakesha enzi zile[emoji2] Halafu ulikuwa na jina zuri na avatar kali kinoma enzi zileHuu uzi ulinipaga sana kampani kuna kipindi
Anhaa lile la Cobblepots.😀Tulikuwa tunakesha enzi zile[emoji2] Halafu ulikuwa na jina zuri na avatar kali kinoma enzi zile
Yani nilikuwa nalizimia hatari hata avatar piaAnhaa lile la Cobblepots.[emoji3]
Ile ID huwa naikumbuka sana!Yani nilikuwa nalizimia hatari hata avatar pia
Hivi kwanini usiirudishe??Ile ID huwa naikumbuka sana!
Hiiii, kumbe naonekana babu,😄Hivi kwanini usiirudishe??
Ujue hii ya sasa inafanya nikuone kama mhenga [emoji2][emoji2]wakati ile nilikuwa naizimia
Mmh hayaHiiii, kumbe naonekana babu,[emoji1]
Basi Hiihii ndiyo inafaa sasaaaaa!
Been good uncleAaah Shunie, how have you been!
Nimekumiss sana aiseeee!