moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,135
- 770,219
Nitakusaidia kuwaita ili tuthibitishe huo uzee ulionaoEeenh wakuje tu


Nitakusaidia kuwaita ili tuthibitishe huo uzee ulionaoEeenh wakuje tu


Lengo la kukununia na kukusimanga na kuwa na gubu ni ili unune na wewe kuwa na kisirani kama yeye
halafu wanatupataga wajinga wajinga tunajishusha weeeh kumbe wenyewe ndio furaha yao ujinga ukituisha sasa ndio kazi inapoanza.
![]()
Mbona hata sisi huwa tunajishusha.Wenzetu mna raha uko
Kweli kabisa maisha ni kuvumiliana moudHakika.
Maisha ni kuvumiliana
Kujishusha kwa mkeo au mpenzi wako hakuna ubwege moudMbona hata sisi huwa tunajishusha.
Tunapenda kujishusha zaidi ila tunaogopa kuitwa mabwege
Mna raha huko.Iko poa pia, kibaridi kwa mbalii
Ukijishusha sana unakandamizwa chini zaidi.Kujishusha kwa mkeo au mpenzi wako hakuna ubwege moud
Kiasi chake shunieWenzetu mna raha uko
Kabsa bro, yaan unajishusha mpaka basi, kuna vitu vingine unakuwa kama huvioni vile..Ukijishusha sana unakandamizwa chini zaidi.
Hapendezi, ndiyo maana kuna wakati unatamani ukinukishe ili kuleta heshima
Ilishashindikana unafanyaje shunie?Njia rahisi ya kupambana na kuishi kwa furaha na mwanaume kama huyu ni kumchukulia poa
Kuna mda unachukulia poa weeeh vinashindikanika kabisa
Poleni broMna raha huko.
Hili joto la hapa + mbu ni shida asee
Ili uonyeshe uanaume wakoUkijishusha sana unakandamizwa chini zaidi.
Hapendezi, ndiyo maana kuna wakati unatamani ukinukishe ili kuleta heshima
Hahahhah yaani baba wawili unaonekana mpole halafu moud anaonekana mtata sanaKabsa bro, yaan unajishusha mpaka basi, kuna vitu vingine unakuwa kama huvioni vile..
Ukikinukisha tena, inakuwa issue
Upo sawa shunie,na kubadirika inakuwa ni ngumu maana sio asili yakoHahahhah yaani baba wawili unaonekana mpole halafu moud anaonekana mtata sana
Baba wawili unavumilia havivumiliki unajishusha weeeh mwisho wa siku kila mtu aendelee tu na mambo yakoIlishashindikana unafanyaje shunie?
AsantePoleni bro
Hahahah kama nakuona uko haupigwi kweli.Upo sawa shunie,na kubadirika inakuwa ni ngumu maana sio asili yako






Ukishuka sana mwanamke haoni tofauti mliyonayo, ndiyo maana kuna wakati unatamani uende kwenye mikesha ili hata ukirudi muanzishe zogo.Ili uonyeshe uanaume wako
Nakupata moud na mwanaume lazima uwe juu siku zoteUkishuka sana mwanamke haoni tofauti mliyonayo, ndiyo maana kuna wakati unatamani uende kwenye mikesha ili hata ukirudi muanzishe zogo.
Shunie elewa kwamba si kwa vile wewe unajitambua na wenzako nao wapo kama ulivyo.
Kuna wengine ili muende sawa ni lazima kitembee kibesi
Heri kwako pia mkuu!Salaam mkuu.
Heri ya mwaka mpya.
Uzi tunaenda nao bro
Herufi yako inaanzia na nini baba wawiliBado shunie