Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Vise versa
Vise versa
Wala hakuna cha namba wala nini...Haya ya kujiua ndio yananishangaza mm kwahiyo mlipeana no za simu au
Nafurahi, naona mko bien Kabisa humu ,nawa peruzi na kuwa dadisi
Wala hakuna cha namba wala nini...
Nilikuwa napitia wakati mgumu saaaanaaa! Nashukuru Mungu yeye ndo alikuwa akinifuta machozi
Ila haileweshi ujueHahahaha ya leo kaliii
Hahaha hahaha hahahaHahaha acha nijichekee mie wanaume wa dar salaam zenu huku
Kweeeeliiii mpendwa obeeee
Hiyo miguno vipiNiko mzima mm
Hii naikubali mia kwa mia
Wengine ni matajiri wa watoto
Sasa ni urembo
Hakuna burudani kubwa kama "je wajua na shangazi shunie shunie"!Mh
Kumbe unanimissig hivi
Bwana Yesu asifiwe!Napita tuu mitaa hii
Sasa nikiwepo mbona unanivuruga lakiniiiiHakuna burudani kubwa kama "je wajua na shangazi shunie shunie"!
miss u 2 umeanza kuwa adimu
Dada ameshakuwa kichaa tayari!Kiboko ya wote ni wewe mwanaume... Mwenye sauti yako nzito! Uliponisemesha ni kama uliiponya nafsi yangu!
AmenBwana Yesu asifiwe!
Hivi wewe nani anakutumaga etiDada ameshakuwa kichaa tayari!