Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,976
Hivi wewe nani anakutumaga eti
Dada ameshakuwa kichaa tayari!











Hivi wewe nani anakutumaga eti
Dada ameshakuwa kichaa tayari!











Dada atakuwa anataka dyudyu!Hahaha hahaha
Mie najua tuu anaishi kivukoni ndo safari ilianzia...
Haya na wewe unacheka nini hebu
Kwenda hukooooDada atakuwa anataka dyudyu!
Kwenda hukoooo


Utakuwa una hamu ya dyudyu siyo kwa kuwapenda wanaume wa Dar huko!Siwapendi kimapenzi ujue!Utakuwa una hamu ya dyudyu siyo kwa kuwapenda wanaume wa Dar huko!
Siwapendi kimapenzi ujue!
Ni upendo wa agape tuu kaka, yaani wa kaka na Dada



Hahhaha ila wewe binamu hao uliowatag hawahusiki kabisa usiniharibie wimbo wangu wala babe wangu hayupo jf wala haijui
Hahahaha
Kijana naona umenitag ,ila mie huko siko Kabisa ,nashukuru kwa tag yako
Kwa sasa Mjomba wenu nakula ugimbi, huku nikihakikisha Mzee mwenzangu Mh Emanuel Ramazan Shadary inakua president
Kweeeeliiii mpendwa obeeee
Mambo mambo tu jamani ila nipo kama hivi
Tunakupendaaa tumooNawasalimia jamani![]()
![]()
![]()
Mbarikiwe mnooo![]()
![]()
![]()
Mnanifurahisha mm na mdogo wakoHaya na wewe unacheka nini hebu
...najua, nimewatag tu hawa ndugu zangu ili kuwatakia msimu mwema wa sikukuu na wala si kitu kingine
Mary ukiona haonekani huku yupo busy entertainment kusoma mastory yamemjalia ukoAya bwana mbona marybaby wangu kapotea jamani
Asante ubarikiwe na weweNawasalimia jamani![]()
![]()
![]()
Mbarikiwe mnooo![]()
![]()
![]()