Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kiboko ya wote ni wewe mwanaume... Mwenye sauti yako nzito! Uliponisemesha ni kama uliiponya nafsi yangu!
 
Ushasahau tayari....
Una akili zako nazijua
Una akili za Heineken nazo nazijua
Una akili za wife material, hizi nazo naanza kuzielewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nacheka mm
 
Yale maneno yako mpaka leo yanajirudia kwenye akili yangu" stop crying beautiful, everything will be fine" hujui tuu we mtu ni namna gani ule usiku hayo maneno yalinipa faraja
 
Back
Top Bottom