Miss you shangazi wangu wa ukweli
Nimesikipu
Naamini wote mko poa
Napita tuu mitaa hii
MechokaKwa nn uskip
Hata huniulizi nimemkutaje mama mkweKwa nn uskip
Hahaha hahaha hahahaTuko poa wewe je kwahiyo VN yangu haujaisikiliza eti hayo si mazereu
Naenda siasani huko nikatoe stelessUnaenda wapi eti
Mechoka
Asante sana akiPoyee jamani
Hata huniulizi nimemkutaje mama mkwe
Sasa kwenye gari uliisikiliza vizuri sasaHahaha hahaha hahaha
Niliisikiliza kwa gari nilikuwa sina earphones...
Afu mesahau kuirudia
Naendelea poa kabsa,,hofu kwako shangaziMiss u too baba wawili wangu unaendeleaje eti
Naenda siasani huko nikatoe steless
Hahaha hahahaNaanzaje kukuuliza na uliniambia ukisikiliza VN utarudi
Haya niambie sasa mama mkwe umemkutaje jamani kwahiyo unalala uko eenh
Naendelea poa kabsa,,hofu kwako shangazi
Nilisema nitairudiaSasa kwenye gari uliisikiliza vizuri sasa
Hahaha hahaha
Merudi mechoka ka nini, mekuja tuu nkalala zangu ndo naamka
Mwenyewe nina stress wacha nikatolee mapovu hukoHahhahahaha kwahiyo siasani pa kutoa stress au kupata stress