Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
YeahJamani
Ningemwambia jinsi gani aliokoa maisha yangu
YeahJamani
HahahahaSimjui aki...
Hata huyo ako na sauti nzito simjui pia...
Alikaa mbele mie nyuma...
Wa mwendo kasi naye baada ya kushuka tuliagana tuu baada ya kunipa mzigo
Yeah
Ningemwambia jinsi gani aliokoa maisha yangu
Ni hivyo mdogo wanguEenh
We mzee habari yako
BarikiwaZangu kabisa
Hahaha hahahaJamani ebu endelea na story dada akee shunie
Na mapya kweli kabisaaa...Kheee mapya haya
Una shangaa nini... TexfyEeenh
Hahaha hahahaHahahaha
Kama nakuona mm
Unaumwa jino mdogo wanguu?!Mmmhhh
Hata mm naonaHahahaha ,habari yangu iko poa Kabisa
Hahaha hahaha
Mie najua tuu anaishi kivukoni ndo safari ilianzia...
Na mapya kweli kabisaaa...
Kaka hanijui simjui, ila daaah! Huyu Mungu jamani
Hahahaha ya leo kaliiiUna shangaa nini... Texfy
Ewaaaaa.....Ndio ile siku uliyoenda beach eenh
Hahaha hahaha
Mie saivi nawasifu wanaume wa Dar, aki wako na roho nzuri saaaanaaa
Unaumwa jino mdogo wanguu?!
Nafurahi, naona mko bien Kabisa humu ,nawa peruzi na kuwa dadisiHata mm naona
Ewaaaaa.....
Time ya kurudi sasa