Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Mh!...ha hahahahhaha, hebu msaidie mmoja japo awe naye kwa mkopo! wewe first eleven imekamilika kwenye jifanye kama umekuwa mwema sana umpatie mmoja sikukuu ikiisha basi unarudisha kitu kwenye himaya yako kama kawaida. anko Lyon Lee ndo anafanyaga hivi
