marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wa dar popote mlipo kuna ujumbe wenu hukuView attachment 967985
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wa dar popote mlipo kuna ujumbe wenu hukuView attachment 967985
Habari mkuu
Madam sepenga na vijibwaKazi kwenu wafugaji mbwaView attachment 967980
Watawala km kawaida yaoSomalia imeiuzia China haki ya kuvua samaki katika bahari yake. Rais Mohammed Abdullahi Farmajo amezipa kampuni 150 za China leseni ya kuvua samaki aina ya Tuna katika bahari ya taifa hilo kinyume na matarajio ya maelfu ya wavuvi wanaohofu hatua hii itaathiri uwezo wao wa kujitafutia riziki.
View attachment 968012
Yaani ndugu wa mume wakiwa km wewe lzm uvimbe kila kona[emoji38][emoji38]Ha ha ha ha,,kama alishindwa kujinyonga kwa binamu iwe kwa mjomba kingimswat
Hashtag tafadhaliHalafu anafanya yote haya mbele ya macho ya jiwe! Ikifika 2020 hatumtaki tena jiwe walahi![emoji1][emoji1][emoji1]
Ndoto hiyo rafiki..Rafiki upo hai?[emoji44][emoji44][emoji44] Kuna taarifa kuwa umejinyonga na tumeshakufanyia buriani tayari!
Anza kushika uchumba.Leta hapa mahari hyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Binamu watu ni wabaya sana,kuna siku king mswati alinisaksia kwako eti uko single!![emoji1][emoji1][emoji1]
Safi, mzima marybabyNjema za kwako
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wote hao hawana chura wala siwataki![emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text "mambo vipi?"…halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda kumgongea mlango saa 7 usiku. Alipofungua nikamjibu "shwari"halafu nikarudi nyumbani kulala zangu.. Sipendagi kuchezea salio..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Salama mkuu,,kwema huko??Salam zako
[emoji23][emoji23][emoji23] kwannYaani ndugu wa mume wakiwa km wewe lzm uvimbe kila kona[emoji38][emoji38]
Ila tumoo ana roho ya kimama mtumishi atafute mchungajii[emoji16]