Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text "mambo vipi?"…halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda kumgongea mlango saa 7 usiku. Alipofungua nikamjibu "shwari"halafu nikarudi nyumbani kulala zangu.. Sipendagi kuchezea salio..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text "mambo vipi?"…halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda kumgongea mlango saa 7 usiku. Alipofungua nikamjibu "shwari"halafu nikarudi nyumbani kulala zangu.. Sipendagi kuchezea salio..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Habari mkuu
 
UFAFANUZI: Kama jamii Ya Paka zilivyo, Duma Hawezi kushambulia bila kuvizia, Hivyo Huvizia ndipo Huanza kushambulia...mara nyingi Huwa anachukua Sekunde 10 mpaka 20 kumaliza zaidi ya hapo Huwa ni changamoto.
-
Pia changamoto nyingine ni kuwa Duma ni mzaifu, Akikamata Msosi inambidi ale mapema sababu kuna Wanyama wengine kama Simba na Fisi Jamaa akikamata msosi wao wanakuja kuchukua so mara nyingi huporwa Chakula.
View attachment 967979
Tumfananishe na nani sijui huku afrikani
 
Back
Top Bottom