Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Naniii anakuwezaaa
Haniwezi bwana
Haniwezi bwana
Jingaaaaaaaa kweliiiiii
Kweliiiii hao kibokoooKumbe tunazidiana
Naniii anakuwezaaa
HahahhahahahKweliiiii hao kibokooo
Ndiwooooooooo ...Babe wangu
shunie ebhu waaacheee
Ndiwooooooooo ...
King Mswati lee huyo amefunga ndoa na marrybaby pamoja na my damned demi kwa mpigo!!Mmorani mmoja kutoka jamii ya Maasai kutoka kaunti ya Kajiado nchini Kenya ameacha watu midomo wazi baada ya kufunga ndoa na wanawake wawili kwa mpigo.
Tom Mako, maarufu kama Junior, 27, alifanya harusi na Elizabeth Silamoi, 25, na Joyce Tikoyian, 23 Jumanne wiki hii.
Mako anatokea kwenye familia ambayo ndoa za wake wengi ama mitala ni jambo la kawaida.
Wanaume wa dar hawawezi hiviView attachment 968005



Huyo ndio kiboko yangu ananiweza yeye tu
Naniii anapingaaaaaaaaaaaa