Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahhahaha jiwe bwana View attachment 968484

"Hata mimi tangu nasoma shule hadi leo nafahamu kuwa Bendera ya Taifa ina rangi ya njano, na sio rangi ya dhahabu. Rangi hiyo ya njano inawakilisha madini yote. Nimeamua kufuta barua ya Wizara ya Elimu, na kama kuna mabadiliko, yafanyike kuzingatia taratibu zote, kwa kuwa jambo hili ni la kitaifa na sio la mtu mmoja."- Rais Dkt Magufuli
JIWE.
 
Mshambulizi wa klabu ya Liverpool ya Uingereza na Misri Mohammed Salah ndiye mshindi wa tuzo ya mwanakandanda bora wa BBC mwaka huu AFOTY2018.

Bingwa huyo wa tuzo ya mwaka uliopita alipigiwa kura na mashabiki wake kote barani Afrika na kuweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kushinda tuzo hili mara mbili tangu mwaka wa 2004 Jay Jay Okocha alipotetea taji lake.
View attachment 968487
Mo faya
 
I LOve civil
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo ametoa siku saba kwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kumpa taarifa juu ya maendeleo ya mradi wa Stendi ya Mabasi ya Mbezi- Luis, kinyume na hapo, TZS bilioni 50.9 zilizotengwa kwa ajili ya mradi huo, zitapelekwa katika halmashauri nyingine.View attachment 968497
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom