Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Na huo uke wenza kautoa wapi
Yeye kaachwa
Yeye kaachwa
Na huo uke wenza kautoa wapi
Sasa na wewe unamchekaaHawezi kukubali kaachwa anajifanya hajui
Sasa na wewe unamchekaa
Uke wenza enzi zile na mm nabebika lee na shululu
Kwa nn nisimcheke mtu ameachwa hakubaliana na hali
Ukiachwa achikaaaaa
Ila tumoo ana roho ya kimama mtumishi atafute mchungajii![]()
Anao wengi wanakuja kumlilia yy kabaki na kuwaambia nina shululu huku kaachwaHana pa kujishikizaa
He he huyo mchungaji atampata wapi
Anao wengi wanakuja kumlilia yy kabaki na kuwaambia nina shululu huku kaachwa
Si jukwaa la dini kule chini... kabla ya jukwaa la dhambi![]()
Penzi la kwanza halifi shunie.. na likifa mzimu wake unaendelea kukusumbuaa
Analijua sasa hilo jukwaa la dini
He he hayo maneno yako sijui kama yana ukweli
Mpeleke
Na kweliii kabisaaJipe moyo baba nani wa kumpinga jiweeee
Wewe siumeshaachwa sana umekua suguu
ThanksYes, skills attract Millions. Kabla haujafikiria kuwa Millionaire, focus zaidi kwenye kujifunza mambo ili Uwe Skillionaire kwanza. Kwani Maarifa na ujuzi ni mtaji wa ufanisi.
ExactlyKila siku unaghairisha Mambo sababu umejawa na Matamanio, sio Malengo. Jua kutofautisha Kati ya hivyo vitu viwili itakusaidia sana kimaisha na Kibiashara