Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,117
- 1,249,282
Katika hatua hii mtu huanza kupekua simu kwa siri, kupekua kompyuta kujua kurasa zisizoperuziwa au hata kuuliza uliza kwa wengine mwenendo wa mwenzake. Katika hatua hii, kadhalika, mtu huanza kufanya majaribio ya kupambana na kile kinachohisiwa kutishia uhusiano wake. Huanza kuthubutu kuanza kuwapigia simu watu anaohisi ndio tatizo.