Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Huniamini tena??kipi kinakupa wasiwasi sasanapata tabu kukuamini, lakini tutafika tu
Huniamini tena??kipi kinakupa wasiwasi sasanapata tabu kukuamini, lakini tutafika tu
Rafiki sijamwita mimi ila nimemuona akiwa mbio-speed ya mwanga kuja huku ndiyo nikajiuliza kulikoni!!![]()
Pale jiwe anapohamua kufanya surprise!!Heh!!
Shangaz huyu nani tena??uteuzi bado unaendelea



Nimefurahi jamanHahaha unanicheka tena
relax bana sawa?Huniamini tena??kipi kinakupa wasiwasi sasa
Jiwe anaenda kuchukua watu mbali kwa ajili ya teuzi mbalimbalii!jiwe ni noma



HahahaWakuu habr zenu nimewamisi sanaaaaaa
Tutambue umoja wetu ndio mafanikio yetu
Jambo kuu huwa kuu kwa kuwa kuna watu wamelifanya kuwa kuu
Tuwe watu wenye subira pamoja na uvumilivu
Tuepuke kuwa kikwazo kwa wengine
Tuwe tayari kuomba msamaha pale tunapo potoka
Mnisamehe pale nilipo wakosea kwa namna moja au nyingine
Niwatakie kila la kheri tunavyo uaga mwaka 2018 na kusubiri 2019
Kila jambo huja na wakati wake na huisha kwa wakati wake
Mapito kwa mwanadamu ni sehemu yake
Tuwe na amani ya bwana
Mungu atuongoze kwa yote
Nawapenda kapuku wenzangu
Huu ni ujumbe wangu wa mwisho kwa huu mwaka
Tuonane mwakani 2019
sidhani kama nayawezaHaya mpnz,kazi kwako sasa
jaman mbona unakata tamaa mapema hivyosidhani kama nayaweza
na arch wangu ntamueka wapi moyo huo huo mmoja??? Sitak kumuumiza burejaman mbona unakata tamaa mapema hivyo
Hahaha sawa shemejiNzuri shemeji
Acha na jiwe aisee,,hii saprayizi sijawahi ionaPale jiwe anapohamua kufanya surprise!!![]()




Sawa bibie,,,sina neno mimirelax bana sawa?
Anazama chimbo haswa,,,akiibuka anakuja na madini tupuJiwe anaenda kuchukua watu mbali kwa ajili ya teuzi!![]()



Heh,,kumbe nataka kufanywa mpango wa kandona arch wangu ntamueka wapi moyo huo huo mmoja??? Sitak kumuumiza bure
Anazama chimbo haswa,,,akiibuka anakuja na madini tupu![]()


Hakuna kama jiwe!


Rafiki am sorry kwa kutibua mpango wako wa kuchepuka!!na arch wangu ntamueka wapi moyo huo huo mmoja??? Sitak kumuumiza bure



Rafiki am sorry kwa kuharibu mpango wako wa kuchepuka!!![]()