Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,002
WoyoooooShangazi nipo leo mpk nimalize zote![]()
WoyoooooShangazi nipo leo mpk nimalize zote![]()
Hahaaha...salamu zimefika, mama yenu anazidi kupendeza tu, yaani kila nikimwangalia anavyonoga nawashangaa sana wanaonimwaga
Kwahiyo unakubali baba wawiliHahahaha unataka nikatae shangazi
Hahahah atakuja tuMbona hatokei sasa![]()
HahahhhahahHahahah nakuona unavyokazia dada angu,,,aje aisee upate wifi sasa
Mm nimejua mchumba yaan chumba cha kulalaKwani mchumba wapo wa aina ngap shangaz??
Sasa hivi kamuacha ndio mana huyo baba wawili haonekani humu sema ndio dada yako hajui kuachikambna mm kaka ake,,silijui hili
Sawa bwanaWewe ni shangazi huwezi kuwa jiwe ng'oo!!
Poa mzima wwHahaha vipi
Unaongea na jiwe au unaongea na shangaziHii ndiyo teuzi ya kwanza kwa siku ya leo?
Sijajiita mwenyewe mm baba wawiliAnadai hapa makapuku mmempa hilo jina,,,ila kama kajiita mwenyew bhasi anafaa sana
HahahhahaTeuzi!![]()
Jamani baba wawili hata wewejina la jiwe linasadifu kila kitu
Safi habari yakoHabari za uzima wakuu
HhahahahTaarifa kwa umma:Siku ya leo tarehe 29/11/2018 jiwe amefanya tenguzi moja ambapo babu mtu chake ametenguliwa nafasi aliyokuwa anashikilia na pia jiwe amefanya teuzi moja ambapo ningendako ameula!
Hapa kazi tu!
Ichukueniazime avatar yako
Hivi binamu unawekaje mziki watu tumeshalalaUsiku mwema wadau wote mnaolifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. Happy furahiday pia, let it be an easy one full of smile, laughter and guess what utakaponiona nimevaa tishirt ya free hugs usisite kunikumbatia maana nitakuwa nimejipiga unyunyu mkali wa Prada
Salama habari yakoHabari zenu makapuku
He he baba wawili ukuje uku mashairi ya dada ako hayaHakuna Kitu kibaya Kama Kuibiwa
Ila Poa tu