Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
WoyooooooooHahahah nimeula walah, uteuzi huu wa jiwe wa sasa upo sawa sawa,,,nasubiri kuapishwa tu hapa[emoji39]
WoyooooooooHahahah nimeula walah, uteuzi huu wa jiwe wa sasa upo sawa sawa,,,nasubiri kuapishwa tu hapa[emoji39]
Anakuingiza chakaUtaniponza ujue.
Hbr ya uzima
Baba wawili kinachokushangaza ni nn[emoji15][emoji15][emoji27][emoji27]
Anaongea na Lyon leeUnaongea na mm au na binamu?
Hahahaah anamlilia tumosaWahuniii sio watu wazuriiiiiii....poleee
Teuzi mpaka mwakaniRafiki ukiona dalili za jiwe kufanya teuzi nishtue please![emoji30][emoji30][emoji30]
Tenguzi je?[emoji41][emoji41][emoji41]Teuzi mpaka mwakani
Hakuna pia mpaka mwakaniTenguzi je?[emoji41][emoji41][emoji41]
Looooooh!!,kwa hiyo umesitisha tenguzi baada ya kumtengua kwanza babu yangu mtu chake!![emoji30][emoji30][emoji30]Hakuna pia mpaka mwakani
Shunie habari yakoSawa bwana
Njema, za masikuSalama habari yako
Safi moud za wwShunie habari yako
Shangazi ngoja nikafuate chura yangu uliyoniteulia![emoji6][emoji6][emoji6]Teua tenguzi zote tukutane mwakani
Hahahahha we bwana ndio mana nshindwa kukupa teuzi utanitia aibuShangazi ngoja nikafuate chura yangu uliyoniteulia![emoji6][emoji6][emoji6]
Kwa nini tena?kwani kuna lililoharibika shangazi??!Hahahahha we bwana ndio mana nshindwa kukupa teuzi utanitia aibu
Tatizo nitakupa teuzi utaanza kulialia habari zako za chura na kuulizia chura uko kila sehemuKwa nini tena?kwani kuna lililoharibika shangazi??!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tatizo nitakupa teuzi utaanza kulialia habari zako za chura na kuulizia chura uko kila sehemu
HahahahaHahahaha
Hongera sana Mkuu