Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Kweli aisee,,nmeamini hilowalivyosema ujionavyo ndivyo ulivyo kweli nimekubali
Kweli aisee,,nmeamini hilowalivyosema ujionavyo ndivyo ulivyo kweli nimekubali
Utaniponza ujue.Shangazi tena???sema jiwe![]()
Dalili ya mvua...aisee hata wewe unaniwazia mabaya? Sijui nimuamini nani sasa, nilikutegemea wewe kwa kila jambo lakini naona mashaka yanazidi na hizi si dalili nzuri,
...juisi ya malimau ndo ilimsababishaga demu wa anko wangu muuza mapazia asiwe anaona siku zake, kwa hiyo kila siku ilikuwa poa tu. Anko alitumikishwa sana



na anaendelea kutumikishwaHii tabu ya mauzo hehe...na juzi nimenunua chandarua cha pembenne, yaani kina mlango kabisa, sio vile vyandarua vyenu vimekaa kama linguo la mashine ya kusagia unga. Chandarua classicmbu kuingia hadi wabishe hodi


Km mzee wa Fact aka lemutuzBasi hapo tumosa anajiona mnene
HahahahaUtaniponza ujue.
Hbr ya uzima
Umeamka. ?
Niko salama kbs nipo makapuku ss kumalizia wikiHahahaha
Habar ya uzima ni salama kabsa,,vp ww??upo salama huko?
Unaongea na mm au na binamu?Umeamka. ?
Niko salama kbs nipo makapuku ss kumalizia wiki
Wahuniii sio watu wazuriiiiiii....poleeeHakuna Kitu kibaya Kama Kuibiwa
Ila Poa tu
Na ww,Unaongea na mm au na binamu?
Hahahah nimeula walah, uteuzi huu wa jiwe wa sasa upo sawa sawa,,,nasubiri kuapishwa tu hapa![]()
Rafiki ukiona dalili za jiwe kufanya teuzi nishtue please!![]()
Kwa baba yakeYuko wapi siku hizi