Nipo hapa mchepuko wakooo
MfyuuuuuNipo hapa mchepuko wakooo
Shangazi yao watu yuko wapiIjumaa hii mko wapi makapuku ,mukuje kwa Shayo tugonge vyombo
Mfyuuuuu
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Asanteee kwa busuuuu amazing mpka binamu anaona nongwaaa
Shangazi yao watu yuko wapi
Acha binamu aje bana mbona unataka kubumbulua mpangoBil sepenga au
HahahahaMkuu ndo tuseme unajimilikisha auntie wa wtu ?
Jaman jaman mtoto wa dada hajafikiaa hapooo ana list ya kutoshaa ...msimtafutiee madume ntauaa mtuAcha binamu aje bana mbona unataka kubumbulua mpango
Aje atusalimie kidogo basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwel aisee,hachelew kuulizia namba ya Wema Sepenga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akili za binamu hasa za wkend me nazjua tusimpe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwel aisee,hachelew kuulizia namba ya Wema Sepenga
Nipo dada angu,habar za weekendKaka yngu ningendako