Makapuku Forum

Makapuku Forum

NawamissSanaWatuNduguWaHumu!KiukweliNauheshimuSanaUwepoWenu!

...anko, basi haya mambo yaishe, na wewe mjomba wangu huna dogo!! Kule juu nilikuwa natania tu si unajua leo furahiday, halafu simu sikuwa nayo mimi. Ninaichaji kwa huyu muuza chipsi nimekuja kulipa lile deni ulilomwambia Mwajei ale utalipa.
Halafu mama Mchungaji anakusalimia sana, anasema umekuwa adimu siku hizi, nikamwambia umekuja Mtwara kwenye fiesta
Umelipaaa kweliiii ? Mama mchungajiii leo naonaa anadaiii lazima nifikee ata kama usiku sana kuna chumba cha wagen
 
Kama binamu yangu Obe yy anazidi ya mamilionView attachment 944181

...ukiondoa hizi milioni nyingi nitakazolipwa za korosho, ninamiliki simu ya Motorola Z inauzwa laki 9 nilinunua usedi. Nimepanga chumba cha uani kina thamani ya milioni 2 maana kina tailizi na kapeti. Ninalipa elfu 15 kwa mwezi maana wenye nyumba walikosa mpangaji
Nina TV sungsing mpya ya mamilioni na hivyo nakubaliana na wewe kuwa mimi ni milionea, ila nikilipwa zile hela za Mo basi nitakuwa bilionea
 
NawamissSanaWatuNduguWaHumu!KiukweliNauheshimuSanaUwepoWenu!
NawamissSanaWatuNduguWaHumu!KiukweliNauheshimuSanaUwepoWenu!
NawamissSanaWatuNduguWaHumu!KiukweliNauheshimuSanaUwepoWenu!
NawamissSanaWatuNduguWaHumu!KiukweliNauheshimuSanaUwepoWenu!
NawamissSanaWatuNduguWaHumu!KiukweliNauheshimuSanaUwepoWenu!
NawamissSanaWatuNduguWaHumu!KiukweliNauheshimuSanaUwepoWenu!
NawamissSanaWatuNduguWaHumu!KiukweliNauheshimuSanaUwepoWenu!
Atakayesoma ataniambia kilichoandikwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom