...hatutaki mchezo, mambo yameenda kijeshijeshi, ila hela tutapewa baadaye maana ni nyingi mno.
Hapa nawaza kama utaweza njoo unipe mate niweze kuhesabu hela.
....yaani asikonde, atapata hela hadi ashone dela la kitenge, asubiri tu hela nilipwe ya korosho na ile ya Mo alipotekwa nitapewa, hujaniona kwenye magazeti?