Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
To whom it may concern.....haaaa ya nani hii???
To whom it may concern.....haaaa ya nani hii???
Bitoz mkeo kapona roho na mwili njoo umchukue
LohWacha kuzingua wewe.
Dinner wapi wakati umepiga pass ndefu.
Muombee mema basi.Hata sielewi brother.
Hizi habari zinafaa asubuhi kabisa kabla ya kwenda job ili upate mizuka ya kazi.Hahahaa ningezileta saa ngap shem?
I agreeUkiona kapuku anatukana jukwaa Fulani ujue huyo ni FAKE
![]()
![]()
![]()
...........
my favourite quote of all timee....
JF inapatikana kwa sana mama.Ni wewe ulituma? Mwanangu yametumwa mabo hapa nimeshinda najibu. naona hamjaishoma dunia ya sasa. Wenzio wananiuliza nawajibu. Swali hivi ukienda nchi za kicommunist kama Korea north na china JF inapatikana?
Sawa fake pastorBitoz mkeo kapona roho na mwili njoo umchukue
Kaimba T pain, wiz khalifa na lily alenUmenikumbusha lile goma la 5 o'clock in the morning sikumbuki muimbaji
Hahahahaaaa, sikujua shemeji yanguHizi habari zinafaa asubuhi kabisa kabla ya kwenda job ili upate mizuka ya kazi.
Sasa ukileta saa hizi wakati nimerudi mikono mitupu unadhani mimi najisikiaje hapa.
Kauzu wa ukweliHahahahaaa... Mama mbona unamajibu ya ajabu hivyo?
Yani leo nimesikiliza siku nzima.Za kwako kheri kabsaa
Sasa kaka ule wimbo nlokwambia mornie ulienda kuuckilza!!?
Kwanini unacheka dada?Ngoja ncheke mie![]()
![]()
I'm sorry DadaSasa basi usiseme huna ndugu![]()
![]()
Nakaribia kujiunga huko wakati ukifika nitajulisha makapuku wote.JF inapatikana kwa sana mama.
Hahahaaa... wee umejua ananicheka mie?Hahahaha.
Usimcheke buawana.
Hahaha si mbaya yata isha hayo nduguYani leo nimesikiliza siku nzima.
Yani utadhani nimeimbiwa mimi.
Pamoja sana shem.Senkyuuu