Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Ukiona kapuku anatukana jukwaa Fulani ujue huyo ni FAKETuna heshima zetu
...........
Ukiona kapuku anatukana jukwaa Fulani ujue huyo ni FAKETuna heshima zetu
Endelea kusubiri wewee, hautapata kitu. Ishia kwa.....Nasubiri watu kama nyie mgharamie halafu mimi nabeba tu.
Umenikumbusha lile goma la 5 o'clock in the morning sikumbuki muimbajiKaz za usiku zinaitwa mission 6 o'clock
Hahahaa ningezileta saa ngap shem?Shemeji lakini ndiyo nini tena unaleta hizi habari saa hizi.
Sio kwa tabasamu hiloKapuku zen vikapuku halafu vitakuja vikwapukutu
Wakongwe kazi wanayo
![]()
.......

Mume wake ana wivu ni balaa.Lizzybettie naona likes zako tuuuu.....hadi raha
Misss you shemdarling
Brother mbona unaniogopa sana.Si youngblood huyo.
Dinna = DinnerKaribu tupate dinna.
Za kwako kheri kabsaaSalama brother.
Habari ya kwako.
Kwahiyo Nyani Ngabu anawaibia....nitamchapa mwambieniTuko juu madame sema kwa vile ubaoni likes zinasomeka 5 ila kule kwa nyani ngabu likes mpaka 50 zinasoma
Poa sanaaaaMakapuku wenzangu, habar za jioni or usiku or whatever
Miss u too shem wanguLizzybettie naona likes zako tuuuu.....hadi raha
Misss you shemdarling
Ni wewe ulituma? Mwanangu yametumwa mabo hapa nimeshinda najibu. naona hamjaishoma dunia ya sasa. Wenzio wananiuliza nawajibu. Swali hivi ukienda nchi za kicommunist kama Korea north na china JF inapatikana?Hahahahaaa... Mama mbona unamajibu ya ajabu hivyo?
Karibu sanaHongera kwa ubunifu.
Sasa basi uwe unajitahidi kuwahi kidogo walau saa sita EAT manake zaidi ya hapo ni ngumu, ikifika saa nne watu wanaanza kuaga sa mtu kubaki mwenyewe napo inachosha
Hahahahaaa.... Umeona eeh??ndo tofauti ya kuomba lifti...na kwenda sheli kila wikiendi