EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Hana wasiwasi ndio maana nikamwongoza aje kwako.Mwambie kijana usiogope mimi nipo hapa.
Hana wasiwasi ndio maana nikamwongoza aje kwako.Mwambie kijana usiogope mimi nipo hapa.
Hahaa nzuriMakapuku wenzangu, habar za jioni or usiku or whatever
Si youngblood huyo.Nan Huyo??
haaaa ya nani hii???
Salama brother.Makapuku wenzangu, habar za jioni or usiku or whatever
Aiseemkuu young blood atanipeleka garage....
HahahaUmbea hauna posho
Sasa basi uwe unajitahidi kuwahi kidogo walau saa sita EAT manake zaidi ya hapo ni ngumu, ikifika saa nne watu wanaanza kuaga sa mtu kubaki mwenyewe napo inachoshaThanks J,
Hata mimi nimekumiss sana.
Sema kila nikipita wewe, MANDELAA KIWELU na briz mnakuwa mmelala.
Hahahahaaa... Mama mbona unamajibu ya ajabu hivyo?Marhaba kua upate yako. Vipi we ndo mshenga au?
Wacha kuzingua wewe.Karibu tupate dinna.
Tuna heshima zetuTumedhihirisha kuwa UMOJA NI NGUVU......
But tupo peace na kila mtu kasoro waliokuwa wanatunyanyasa tu
Makapuku hatutukani
............
Hahahaaa kwa siku hizi ndio hauna jinsiaHahaha
Lakin vile vilee umbea hauna jinsia
Shemeji lakini ndiyo nini tena unaleta hizi habari saa hizi.
Bado mi kula mpaka saa mbili mkuuMkuu umemaliza kula????
Hahaha nime ipenda sasa hyo o'cklock ulivo i spellHa haaa.....et six oklok
Mwambie jamaa anione mimi nipo.Muulize Jimena atakupa na contact kabisaaa