Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Mi pia naikubali sanaaaamy favourite quote of all timee....
Mi pia naikubali sanaaaamy favourite quote of all timee....
Acha umbea wewe.Brother naamini leo umeona mwenyewe live bila chenga jinsi shemeji asivyokuwa mwaminifu.
Nasubiri kusikia hatua madhubuti utakazochukua kaka.
Usiniangushe kabisa,kama vipi PIGA chini.
Hapana sio hao, we labda unasema mwingine au remix nnaosema mimi kaimba mwanadadaKaimba T pain, wiz khalifa na lily alen
Bonge ya song ile
Jamaa anataka ale ukiachaAcha umbea wewe.
yale yale mi Boss mkubwa ye Boss mdogo inapofika kwa mahitaji. Chai nitampa akiangalia tv si mi boss? nikisema no hanywi na tusipoelewana tunazima tv wote BD. King and Queen, hapa hakuna mshindi nyumba hii balanced.Upo kwa boss au mume????
Mkono wa sweta.Ndo nini hiyo??
Na kwako pia shem. Usingizi mnono.Uck mwema wapendwa
It's okay my kakaI'm sorry Dada
Haa!! Tena.Mkono wa sweta.
Okey msalimie boss mkubwaaaa..... Mwaegoo....yale yale mi Boss mkubwa ye Boss mdogo inapofika kwa mahitaji. Chai nitampa akiangalia tv si mi boss? nikisema no hanywi na tusipoelewana tunazima tv wote BD. King and Queen, hapa hakuna mshindi nyumba hii balanced.
Sipendi tu makapuku tuchoreke,Kwani wewe mwalimu au?
HahahaaaHapana sio hao, we labda unasema mwingine au remix nnaosema mimi kaimba mwanadada
Tatizo wakati unatoka nilikuwa bado mdogo ila niliuelewa.
Naenda u tube naamini ntakuja na jibu kamili
Huku hatiii Haata puwaa anaangalia page zinavyosogea na kiroho kikimdundaa.....Sipendi tu makapuku tuchoreke,
Hakawii kuja yule bibi ngari.b.a kuja kusahihisha lugha
T-pain,wiz khalifa and Lily AllenHapana sio hao, we labda unasema mwingine au remix nnaosema mimi kaimba mwanadada
Tatizo wakati unatoka nilikuwa bado mdogo ila niliuelewa.
Naenda u tube naamini ntakuja na jibu kamili
Hahahahaha ila kuwa Watu humu wana uandishi mbovu sana.Sipendi tu makapuku tuchoreke,
Hakawii kuja yule bibi ngari.b.a kuja kusahihisha lugha
HahaaaT-pain,wiz khalifa and Lily Allen
Huu mchezo hauitaji hasira.Na wala hatuogopi mtu.