ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
Basi wewe endelea kubishana.Sio kweli. Wee muongo.
Basi wewe endelea kubishana.Sio kweli. Wee muongo.
Ngoja ncheke mie[emoji3] [emoji3]Ila mabinti wa Kitanga wana mambo! Ogopa sana.
Yes shemShem, ndo na wewe leo umeipata?
Just a funnyBila shaka unafaham kampeni zangu nakupisha umalize mbinu zote, nitakuwa wa mwisho kujibu mapigo yote
Mie sina neno kabisa.
Hahahaha.Ngoja ncheke mie[emoji3] [emoji3]
Usimwambie Th Name
Hongera sana shem.Yes shem
NimeioteaAA[emoji1]
SenkyuuuHongera sana shem.
Paroko anaona kama unamfukuzia wateja.Just a funny
Km umemind poa
Ww si ndo paroko humu
..........
hhahahahaahah ulimcaptain wife.....ngoja aje mwenyewe hapaHuyu dogo anajaribu kuficha aibu kwasababu mke wake ndiye mtu wa kwanza kukutwa na Bwaba pespsi a.k.a youngblood.
Nipo pasta wangu naendelea vemaSumbai, habari shemasi!
Na wala hatuogopi mtu.Spidi ya hatari
Anaponya mwili na rohoHuyu sasa ndio mchungaji anatoa mapepo mpaka ndani kabisa safi sana baba mchungaji
Umezidi kuzubaa mkuu.Mie sina neno kabisa.
Ngumu kuzoea.[emoji23] [emoji23] [emoji23] usiogope utazoea mkuu.
Shem avatar yako nzuriBila shaka unafaham kampeni zangu nakupisha umalize mbinu zote, nitakuwa wa mwisho kujibu mapigo yote
KavurugwaParoko anaona kama unamfukuzia wateja.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Fake pastor.
Mimi kawaida yangu nikiona mtu mzembe namsaidia kazi.hhahahahaahah ulimcaptain wife.....ngoja aje mwenyewe hapa
Hapana asee, sio kweli.Nilisikia hii ndiyo imesababisha ukimbiwe na warembo.