eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Huyu sasa ndio mchungaji anatoa mapepo mpaka ndani kabisa safi sana baba mchungaji
Huyu sasa ndio mchungaji anatoa mapepo mpaka ndani kabisa safi sana baba mchungaji
Hapana, mimi siwezi nogewa. Hivi vitu tulishavizoea mbona.Angalia usije ukanogewa...
Huyu dogo anajaribu kuficha aibu kwasababu mke wake ndiye mtu wa kwanza kukutwa na Bwaba pespsi a.k.a youngblood.hahhahhah mkuu wangu mbona signature yako inasema ...."ukiambiwa kubali" naona hapa unakataa
Wivu tu hakuna namna, hata wako atakuja oparesheni ni ileile ujue
Duh! Pole asee.Kuna watu wananisingizia kifo mkuu.
jambilo ni balaa.Huyu sasa ndio mchungaji anatoa mapepo mpaka ndani kabisa safi sana baba mchungaji
ndo tofauti ya kuomba lifti...na kwenda sheli kila wikiendiInahitaji gharama au sio?
Sio kweli. Wee muongo.Najua wenye vyombo vyao humu wananiogopa kama UKOMA,kwanza mpaka sasa nimevunja Ndoa zaidi mbili hapa.
Nitamuambia ajipange vizuriBasi alete ng'ombe 100 au pombe kama ni ya moshi au Bi vibuyu 100 na mbuzi 10.Halafu aje na mikeka kama 10 ya kukalia na mengine atayakuta mwenyewe. Atajaza. Kuoa kazi.
Kwani huyo mwanamke wa dhahabu ama vipi.!!Basi alete ng'ombe 100 au pombe kama ni ya moshi au Bi vibuyu 100 na mbuzi 10.Halafu aje na mikeka kama 10 ya kukalia na mengine atayakuta mwenyewe. Atajaza. Kuoa kazi.
NimekuPMAtaiweza kweli hiyo mama?
Hawezi kuja kwa fake Pastor like youWivu tu hakuna namna, hata wako atakuja oparesheni ni ileile ujue
Hata sielewi brother.Duh! Pole asee.
Ni akina nani hao?
Bila shaka unafaham kampeni zangu nakupisha umalize mbinu zote, nitakuwa wa mwisho kujibu mapigo yoteFake Pastor
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Ngoja nianze kuipanga hiyo safari.Fanya mpango uje fasta mkuu wataisha.
OkNimekuPM
..........