sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,151
Ili iweje?? BrazaDuh hii thread inakwenda aiseee
Makapuku mmekuwa mabilionea now...
sasa si mbadilishe jina?
Ili iweje?? BrazaDuh hii thread inakwenda aiseee
Makapuku mmekuwa mabilionea now...
sasa si mbadilishe jina?
[emoji102] [emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Jipe moyo. Hata wewe unataka kunizunguka kweli sina ndugu hapa
Tangulia tu mkuu.Muda wa kula huu, nendeni mkale sasa
Huna ndugu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Jipe moyo. Hata wewe unataka kunizunguka kweli sina ndugu hapa
[emoji178] [emoji179][emoji131]
anamwekekea nzi wakat anataka kujenge ministry yakeParoko anaona kama unamfukuzia wateja.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Fake pastor.
Asante kaka.Karibu sana.
Umebaki wewe tu Dada yanguHuna ndugu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mimi je??
Usiku mwema wifiUck mwema wapendwa
[emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji178] [emoji179]
Ili iweje?? Braza
Toa macho tu[emoji102] [emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
.............
Roho inakuuma mwenyeweKweli mapenzi upofu.
Sasa basi usiseme huna ndugu[emoji134] [emoji134]Umebaki wewe tu Dada yangu
Hapa kazi tuuuuuMuda wa kula huu, nendeni mkale sasa
Huna lolote wewe.Usishangae sana mkuu.
Wenyewe wananijua kwamba mimi ni balaa.
Hapana mkuu. Hiki chama ni endelevu.... Nadhani wataondoka watu na idea kwa ujumla itaendelea kuwepoHii movement yenu imekuwa so powerful...
mmepata recognition...
Salama kabisa, karibu.Ndugu wazima humu?
Kazi za usiku nazo[emoji119] [emoji119] [emoji119]Hapa kazi tuuuuu
Hee! labda youngblood akusaidie kukutafutia.natafuta expert wa kunani Tanga mkuu
Unaifanyaa ukipumzika unaangalia notificationKazi za usiku nazo[emoji119] [emoji119] [emoji119]