Miss you so much
Tumedhihirisha kuwa UMOJA NI NGUVU......Hii movement yenu imekuwa so powerful...
mmepata recognition...
Kwani ni nani aliondoka kimya kimya huko kwao?Hawaniwezi hawa watoto wa mjini wamezoea kula chipsi mayai wakati kwetu nakula Mihogo mibichi na chai.
Alafu kwetu nimeaga mkuu.
Mkuu umemaliza kula????
Karibu tupate dinna.Tupate break tafadhali.![]()
![]()
![]()
Kaz za usiku zinaitwa mission 6 o'clockKazi za usiku nazo![]()
![]()
![]()
mkuu young blood atanipeleka garage....Hee! labda youngblood akusaidie kukutafutia.
Nini tena kijana?Hee! labda youngblood akusaidie kukutafutia.
Kapuku zen vikapuku halafu vitakuja vikwapukutuHapana mkuu. Hiki chama ni endelevu.... Nadhani wataondoka watu na idea kwa ujumla itaendelea kuwepo
Kila Siku kapuku wanajiunga jf
haaa mda wa taarifa ya habar ssa iv mbona....spensa lamek ITVKaribu tupate dinna.
Pole.ishapitaa
Wewe kwenu umekimbia mkuu.Kwani ni nani aliondoka kimya kimya huko kwao?
Ha haaa.....et six oklokKaz za usiku zinaitwa mission 6 o'clock
Wee ngoja uje kujionea wewe.Utasubiri sana.