Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Mwambie kijana usiogope mimi nipo hapa.Usijali braza, kijana wangu youngblood atakuongoza.
Mwambie kijana usiogope mimi nipo hapa.Usijali braza, kijana wangu youngblood atakuongoza.
Ataiweza kweli hiyo mama?Mahari kwanza tena kwangu through Western Union 5000 $
Usipende kutamani vya wenzio sasa.Mimi sitaki kutumia gharama kubwa kwenye vitu vya kipuuzi.
Utalaanika kijanaKwa jina la fake Pastor
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Marhaba kua upate yako. Vipi we ndo mshenga au?Shikamoo Madame
Nan Huyo??Huyo kijana hana swaggz zozote, anapenda kutengeneza promo tu eti yeye ni sukari ya warembo, wakati mwenyewe ameachwa.
Majukumu yako poa kabisa .Njema kaka.
Majukumu yanakwendaje
Hahahahahaahaaa mchungaji yehova amemshukia atiiiFake Pastor![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Kivipi tena?Aisee si kweli mkuu.
Nimeamini binadamu wabaya
Basi alete ng'ombe 100 au pombe kama ni ya moshi au Bi vibuyu 100 na mbuzi 10.Halafu aje na mikeka kama 10 ya kukalia na mengine atayakuta mwenyewe. Atajaza. Kuoa kazi.Ataiweza kweli hiyo mama?
Nasubiri watu kama nyie mgharamie halafu mimi nabeba tu.Usipende kutamani vya wenzio sasa.
Inahitaji gharama au sio?Hapana mkuu,hawa kuwatunza ni kazi kubwa sana.
Hapa.Marhaba kua upate yako. Vipi we ndo mshenga au?
hahhahhah mkuu wangu mbona signature yako inasema ...."ukiambiwa kubali" naona hapa unakataaHuyo kijana hana swaggz zozote, anapenda kutengeneza promo tu eti yeye ni sukari ya warembo, wakati mwenyewe ameachwa.
Safari itakuwa chungu.Ila usiwe na tumbo la kuhara
Kuna watu wananisingizia kifo mkuu.Kivipi tena?
Sumbai, habari shemasi!Njema kaka.
Majukumu yanakwendaje