Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ndo mnataka sababu leo kwako kesho kwa mwenzio. Zamani ukilipa mahari ni pombe na mnainywa wote baada ya hapo imekwisha! Ukimtesa mwanangu anatoka hudai kitu. nenda kwa wakurya anaoa ng'ombe mia si amenunua mtumwa?? Who decides all these? Eti mababa. Kweli wewe baba una akili timamu unajua mkwe wako ndo anakuwa sehemu ya familia yako unamtoza yote hayo? Ndo maana wakwe wengine wanawatukana baba wake zao sababu waliwauza watoto wao.

Ninaandika kwa kuonyesha jinsi watu walivyokuwa wanyama au money mongers!!! Sitatolea mfano nisijenikajulikana ila tumelipa over 5 million kuoa hivi ni sawa??? niliolewa kwa mbuzi mmoja na shuka la mama na vibuyu 30 vya pombe na bado nipo kwenye ndoa over 35 na utadhani nimeolewa jana.
Kwakeli bibi leo umeongea points sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom