hahaa naona waniuzia caseAseeh!!.. Kwahiyo usharudi mjini au umelifata jimama lako Tabora!?.


@Lyon Lee ndio najuana nae nje ya jf Obe hata kumjua simjui hata anavyofanana kuna mda nahisi ni mbabu hivi mzee halafu kuna mda nahisi kijana kaben10 flani kiufupi binamu Obe simuelewi
Kujuana nje ya jf sio big deal wick hata mm na ww tunaweza juana kikubwa ni kujiamini
Watu wengi humu jf hawajiamini ndio mana baadhi hawataki kujuana na watu
hahaa hiyo ni siri ya kambi shunie
Nimecheka mm mnayapataje sasa humu jf
Hahaha...
Binamu ndio mana huwa nasema sikuelewi
Yaan huwa natamanigi sana kukujua
Korosho zangu ndio hutaki kuniletea ndio basi tena