Makapuku Forum

Makapuku Forum

nasahau kama nishawahi uliza, unajua tena vingine naviona vidogo kuvikumbuka!. Ila malezi yako mazuri me mkatoliki lakini nilianza toka enzi hizo ukaidi wa masuala ya imani!.
Kuna siku nilikusoma mahali da vinci alikuquote ulielezea baba ako alitaka uwe padri kitu kama hiko

Nina hofu na Mungu wick, Mungu kwanza mengine badae
 
Nah! mzee wangu hakuwahi penda mambo ya dini. Mama ndio ugomvi mpaka leo!. Jpili anaweza kukupigia simu saa 3 asubuhi ukipokea kesi, nikamjulia simu zake napokea kuanzia saa 8
Ubarikiwe sana kwa hofu uliyonayo Shunie tuombee na wengine tuipate!.🙂
 
Mh mbona nakumbuka ulisema mzee alipewa maneno kuhusu dini

Kwa nn unakuwa ugomvi ukipokea simu saa tatu

Ameeen wick nawaombea
 
Mmeshibana sana mfano sitoi!.
Kuna sehemu nilikusoma seems mna connections outside here somehow!..
@Lyon Lee ndio najuana nae nje ya jf Obe hata kumjua simjui hata anavyofanana kuna mda nahisi ni mbabu hivi mzee halafu kuna mda nahisi kijana kaben10 flani kiufupi binamu Obe simuelewi

Kujuana nje ya jf sio big deal wick hata mm na ww tunaweza juana kikubwa ni kujiamini

Watu wengi humu jf hawajiamini ndio mana baadhi hawataki kujuana na watu
 
@Lyon Lee ndio najuana nae nae ya jf Obe hata kumjua simjui hata anavyofanana kuna mda nahisi ni mbabu hivi mzee halafu kuna mda nahisi kijana kaben10 flani kiufupi binamu Obe simuelewi

Kujuana nje ya jf sio big deal wick hata mm na ww tunaweza juana kikubwa ni kujiamini

Watu wengi humu jf hawajiamini ndio mana baadhi hawataki kujuana na watu

Hujalala bado ...nmemis mitaa ya kwako ila kesho narudiii mjini
 
Mh mbona nakumbuka ulisema mzee alipewa maneno kuhusu dini

Kwa nn unakuwa ugomvi ukipokea simu saa tatu
Kipindi chetu ilikua sunday school tunaenda kuangalia sinema kwa mapadre (wazungu), me nilikuwa mpenda vitu vya umeme sasa nikawa nazoeana nao nijue zinafanyaje vile vifaa vyao, kumbe wenzangu wananiona nitafaa kukaa nao seminari!. Nikaja sikia huo mpango!.
Saa 3 asubuhi ina maana kanisani hapaendeki!. Saa 8 unaweza jitetea ulikuwa kanisani or umeenda kumridhisha!.
 
Hahhahahah mapadri walijua wamepata kijana wao
Kipindi chetu ilikua sunday school tunaenda kuangalia sinema kwa mapadre (wazungu), me nilikuwa mpenda vitu vya umeme sasa nikawa nazoeana nao nijue zinafanyaje vile vifaa vyao, kumbe wenzangu wananiona nitafaa kukaa nao seminari!. Nikaja sikia huo mpango!.
Saa 3 asubuhi ina maana kanisani hapaendeki!. Saa 8 unaweza jitetea ulikuwa kanisani or umeenda kumridhisha!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom