Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,312
- 12,194
Bibi anguu hanaga wivu!..😀sawa " @ shunie ana taarifa lakini kuwa una michepuko kama makusanyo ya fedha za TAMISEMI
Bibi anguu hanaga wivu!..😀sawa " @ shunie ana taarifa lakini kuwa una michepuko kama makusanyo ya fedha za TAMISEMI
😳😳🙁🙁Huyo tumeshaachana sasa hivi mm simuwezi
heheee usiniambie ... kwa hiyo kuzima taa naruhusiwa ...!!? daaahh asante mungu dua langu umelipokeaHuyo tumeshaachana sasa hivi mm simuwezi
Haaa hahaa Njoo uchukue Mimi nagawa bure tu😳😳🙁🙁
Sumu ya mende bei gani!?..
Huko nako umeenda Chaka vibaya..
Nimeshafanya kazi serikalini kwa miezi 7 tuu nikaondoka.
Sasa hivi nauza mbuzi na ng'ombe tuu.
Ukikwama sana kamuulize dada.
utakuja kumuua kwa pressure AiseeBibi anguu hanaga wivu!..😀
He heBibi anguu hanaga wivu!..😀
😳😳🙁🙁
Sumu ya mende bei gani!?..
Unakosea mama D..Mm nimeshamaliza sijaingia chaka huo ndio ukweli
unapasikia Mikumi?.heheee usiniambie ... kwa hiyo kuzima taa naruhusiwa ...!!? daaahh asante mungu dua langu umelipokea
masuala ya kupewa sumu za kuteseka nusu saa sitaki!..Haaa hahaa Njoo uchukue Mimi nagawa bure tu
huyo bibi mpori " Amecheza mdako na bibi yanguunapasikia Mikumi?.
Ushawahi fika kwa bibi mpori?.
subiri
hahaa kwanini wewe siumeulizia sumu mkuu " Au hauhitaji tena "??masuala ya kupewa sumu za kuteseka nusu saa sitaki!..
Vice versa nini!?..utakuja kumuua kwa pressure Aisee
Ukimaanisha tunywe wote!?..Nakununulia ya panya nakuletea kabisa
dog eat dog sasa!..huyo bibi mpori " Amecheza mdako na bibi yangu
dah! acha tu kwanza.hahaa kwanini wewe siumeulizia sumu mkuu " Au hauhitaji tena "??
Unakosea mama D..
Kweli..
Wala siko interested kufanya kazi serikalini tena...