Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
More loves..Nakupenda pia T wangu jamanii
More loves..Nakupenda pia T wangu jamanii
AiseeeMimi ndiyo Mastermind wa maisha ya mtandaoni mkuu!!...one thing for sure i never be serious here!!![]()
Weka ka emoj kamojaMore loves..
Kweli kabisaaa
NdiwoooDada buana!![]()























































































































































































































Weka ka emoj kamoja
Kama hivi
Nisameheni ila hayo makopa kopa ya kila rangi ni kuwa nampenda sakayo at worse and good ! In any situation![]()
Hiyo ndio slogan yetuUjue naleft
Asante sana neno la leo limeshibaKwa wanaume wote;
Wakuu kama una mwanamke anaejielewa naomba umtunze kisawasawa.
Mpende kwa 100%
Mjali kwa 100%
Mfanye kipaumbele 100%
Wekeza kwake 100%
Mlinde kwa 100%
Mthamini kwa 100%
Jua dhamani yake kwa 100%
Mfanye ajisikie kupendwa kwa 100%
Mfanye ajue ibada (kulingana na dini yako) kwa 100%
Matokea yake utabdili jamii na ulimwengu mzima..
I was taught this is 2002! I have been doing this na naona matunda yake..
Tupo jf tuu hatujuani ila kuna life nje wa jf..
Pendaneni wakuu..
Its my b'day! Wito watu ni Spread love to the family
Hapana dadaHiyo ndio slogan yetu
Mwambie anizoee tuNdio kazi ya shunie kupost moto tuu sasa![]()
hataki kubadili ""? ... ukiona hivyo hataki ajulikane haraka humu " Maana kuna watu tuna makoloni kama serikali ya Hitler




KheeeeeHahaha...
Hizo hapo...![]()
Ila we babu jamani
Busara lakini alikuwa nazo toka mdaDada amerudi kwa kasi mpya,full busara sasa hivi!...inaonekana huko alikokuwa amefichwa amenyooshwa haswa!!![]()
AiseeHiyo ndio slogan yetu