Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hapana mkuu..

Kuna maisha halisi na maisha ya mtandaoni

Ukielewa hili hutokuwa na swali tena.
Asante sana T asante sana T nazidi kukupenda tu mm yaan watu jf wanachukulia vitu serious mnooo kumbe tunajifurahisha tu wengine tunakuja kutoa stress zetu humu za kupambana na vyuma kukaza mama mtumishi mm shunie
 
Mama mchungaji bwana!!
Wengine wakiona hivyo roho zawaenda mbio, ni kuwaacha tuu wawaze wajuavyoo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom